AIBU.Mashabiki Wampa MAKAVU Lucy Komba Baada ya Kuweka Picha Mtandaoni Akichezea Maungo yake Nyeti


Staa wa Bongo Movies aliehamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye ameolewa na  ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Lucy alianza kwa kuweka picha hiyo ya kuchora ambayo ndiyo ilileta utata na kuibua majibizano ya maneno kati ya watu ambao waliona kuwa picha hiyo haina shida na wengine wengi wakisema picha hiyo haina maadili na ukizingatia yeye ni mke wa mtu.
“Mshamba anataka attention mke wa mtu huwez jichetua hvo hata kama umeolewa na mzungu” mchangiaje mmoja aliandika.
Baada ya vita kubwa ya maneno ndipo Lucy aliweka picha halisi ya mchoro huo na kuandika haya.
"Picha asilia hii hapa wale wenye midomo mipana wanaosema mimi nimeshika uke hapo nimeshika uke? 
"Pelekeni umbeya wenu na upashikuna huko, mke wa mtu nimeolewa na baba zenu mpaka awaume mwenye mke katulia tulii nyie ndo mate yanawatoka.
"Ndio nataka atenshen kwa baba ako kuku wewe, kama unaona vipi njoo uolewe wewe uvae mabaibui, naweka picha ninayotaka natoa ninavyotaka sijakuita hutaki jitoe sina muda tena wa kuanza kuchagua nimuache nani nimtoe nani jitoe mwenyewe kwa mshamba mimi."
- See more at: http://www.mambomsetotz.com/2015/07/aibumashabiki-wampa-makavu-lucy-komba.html#sthash.NPckpNhv.dpuf

wdcfawqafwef