4TOZONE PICS YAANZA KUPIGA PICHA ALBUM YA ANGELA

Kampuni ya 4TOZONE PICTURES KAHAMA, imeanza kupiga picha ya video ya album ya msanii chipukizi wa kwaya kutoka JERUSALEM kahama  BI ANGELA GIDION,.. Album yake inayoitwa SITOMUACHA YESU yenye jumla ya nyimbo 9.., Kwa mujibu wa wadau wa muziki wa kwaya wamesema album hiyo ni nzuri na inaonekana kuwafurahisha mashabiki wote wa muziki wa kwaya. 
ANGELA GIDION ( location)
Aidha wasanii BAHATI BUKUKU na JENIFER MGENDI  walimkubali kwa kipaji chake cha hali ya juu katika uimbaji, baada ya kukutana katika mkutano wa injili uliofanyika katika kanisa la jerusalem kahama mwishoni  mwa mwezi wa kumi.

wdcfawqafwef