FROM ZERO TO HERO YAINGIA DOA,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

                                                    MUONGOZAJI WA FILAMU.
Filamu ya FROM ZERO TO HERO yaingia doa ikiwa hatua za mwisho baada ya muhusika mkuu kuingia mitini,jambo ambalo limeing'alimu kampuni ya 4TOZONE ambayo ndo muandaaji mkuu, . kwa mujibu wa maelezo ya awali kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo  JADA, amesema hatua za sheria zitafuatwa kwa mujibu wa mkataba wa msanii na kampuni...




Gloria Innocent ( msanii alieingia mitini)

wdcfawqafwef