BSS2015 YAANZA KWA KASI,,,FUNGUA HAPA UJIONEE

..
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’ ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.


.
.
.
Shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba kwa mwaka linatafanya usaili mikoa 4 ambapo Mwanza July 4-5 ndani ya ukumbi wa La kairo, July 11-12 Arusha ukumbi wa Triple 7, Mbeya ukumbi wa Club vibes July 18-19 na Dar July 24-26.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

wdcfawqafwef