Onyango Atoboa Kinachoua Wasanii

Onyango Atoboa Kinachoua Wasanii
MZEE ONYANGO


ISSA Joseph ‘Mzee Onyango’ amewashukia wasanii wa filamu kwa kuwaambia kitu kinachosababisha kuchuja mapema katika sanaa ya uigizaji tofauti na wasanii wakongwe kama yeye ambao wamedumu katika tasnia hadi leo, Mzee Onyango anasema wasanii wanavimba vichwa.
“Hawa wasanii wengi hawataki kushauri kwa lolote, akisifiwa kidogo tu, anavimba kichwa na kujiona hana haja ya kufuatilia ushauri kutoka kwa mtu mwingine anajiona anajua, hawabadiliki na hawezi kukaza buti,”anasema Mzee Onyango.
Onyango anasema kuwa wasanii wa sasa katika tasnia ya filamu wanapotea mapema kwa sababu ya dharau na hawazingatii miiko ya sanaa na kufuatilia ushauri na kukubali kukosolewa na kubadilika kulingana na wakati, kwani hata wao wangepuuzia ushauri

wdcfawqafwef