Lulu:Mini ni Demu Feki na Tapeli


Lulu:Mini ni Demu Feki na Tapeli
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni.

Akizungumza na mtandao wa udakuspecially.com, Lulu amesema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu wanataka kujua kwa nini yeye ni feki na ana tabia za kitapeli wasubiri kujua kwa nini ameamua kujiita hivyo.

“Kama mtu anataka kujua ufeki wangu anisikilizie maana kuna kitu nimefanya kitathibitisha hilo,” alisema Lulu
Bila shaka hii itakuwa ni kututokana uhusika aliouvaa kwenye filamu yake mpya inayotarajiwa kutoka mwaka huu inayokwenda kwa jina la  Ninoma “huyu demu ni feki”.

wdcfawqafwef