HUU NDIO UKWELI WA SHILOLE NA MZIWANDA,,,YAANI KUMBE KULIKUWA NA MAMBO YA NDANI,,

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

wdcfawqafwef