BREAKING NEWS..!! BASI LAGONGANA NA LORI NA KUUA WATU ZAIDI YA 20 HUKO IRINGA, MAJERUHI NI WENGI SANA



Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba gari ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake Njombe kwenda Iringa imegongana Lori Semi Trailler .

Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila huko Mafinga.

Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 22 wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.

wdcfawqafwef