KAHAMAMOVIE CAN PARTICIPATE big concert Ziff Arts EAST AFRICA


Kahama movie inaweza kushiriki tamasha kubwa la kisanaa A/Mashariki ZIFF. Yamesemwa hayo na Afisa Utamaduni Wilaya ya Kahama katika kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake,hivyo kuombwa wasanii kuongeza ushirikiano ili watambulike kitaifa. Itakuwa ni bahati kubwa tamasha hili kama itathibitisha kufanyika wilaya ya Kahama.Tamasha kwa mwaka jana lilifanyika katika mkoa wa Arusha. UMOJA NI NGUVU,TUJUMUIKE KUINUA SANAA YA KAHAMA.

wdcfawqafwef