Ni wakati sasa wakuweka pembeni hitilafu zetu,nakufanya sanaa ya Kahama kuwa sanaa yenye kuheshimika.Yamesemwa hayo na mwenyekiti wa Umoja wa wasanii wa kuigiza wilaya ya Kahama Bw.Rajab Peter,wakati akizungumza na wasanii walio nje ya Umoja...Pia ameongeza kwa kusema kuwa "tunapoungana pamoja si kwamba kuna mtu mwingine anapata faida bali faida ni za kwetu wenyewe".Mwenyekiti huyo aliwaeleza wasanii kuwa nafasi za kujiunga sasa ziko wazi kwa wasanii wote wakahama. Ikumbukwae umoja wa wasanii wakuigiza Kahama umeundwa kwa madhumuni ya kutambuana nani ni msanii na anashida gani na vipi asaidiwa.
Tuesday, 11 March 2014
It is time now to set you aside our differences , and make art that art highly respected Kahama