DRAGON ARTS GROUP YAWEKA MIPANGO THABITI

Kundi la Dragon ambalo linapatikana mjini Kahama laweka mipango thabiti katika katika kuandaa filam.
Mkugenzi wa kundi hilo bw.ZAWADI MASOUD(DR.ZEDY)amesema kuwa amejiandaa kuleta changamoto katika uandaaji wa filam katika kanda ziwa.Baadhi ya wasanii kutoka kundi hilo wamesema kuwa watajitahidi kufanya vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano katika kila kazi watakayo fanya.

wdcfawqafwef