Ali Kiba: Sina bifu na Diamond na sifurahishwi na hizi ‘team’za

Ali Kiba: Sina bifu na Diamond na sifurahishwi na hizi ‘team’za mitandaoni.

Ali Kiba: Sina bifu na Diamond na sifurahishwi na hizi ‘team’za

Staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba amefunguka kuwa hana ugomvi na msanii mwenzake,Diamond Platinumz kama ambavyo mashabiki wanadhani na hafurahishwi na timu za mashabiki zinazojiita ‘TeamDiamond na TeamKiba’ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram lakini hawezi kuwazuia.
alikiba2
Akizungumza na Leo Tena ya Clouds Fm,alisema kuwa wao ni vioo vya jamii na wanapendwa na watu wengi na anapoona yanatokea mambo hayo kwenye  mitandao hiyo ya kijamii hawezi kufanya chochote na kuwaingilia mashabiki hao.
diamond
‘’Kiukweli sifurahishwi na timu hizi na naona kinachoendelea kwenye mitandao lakini siwezi kufanya chochote na kuwaingilia mashabiki,ila ushauri wangu ni bora wangeacha tu,’alisema Kiba.



wdcfawqafwef